Nahitaji kujua CV ya Kamishna mpya wa TRA

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Naomba kwa mtu yeyote anayefahamu CV ya Kamishna mpya wa TRA aniambie kwani toka serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani huyu ni Kamishna wa tatu katika taasisi hiyo nyeti ya ukusanyaji kodi nchini.
 
Back
Top Bottom