Nahitaji kujifunza uchawi, wapi ninaweza kutimiza lengo langu?

yaelekea huko kigoma ni moto wa kuotea mbali,ndio maana hata akina kafulila na zitto hawafanywi lolote na vibabu vya CCM/kamati ya ufundi ya chama ingawaje inadaiwa mwenyekiti wa kamati hiyo alisha fariki kitambo/
 
Binaadam hatu fanani, kila mtu ana vitu vyake avipendavyo. Tangu nikiwa mdogo nimekua nikiusikia habari kuhusu UCHAWI, kitu ambacho tangu wakati huo nimekua nikipenda simulizi zake na naham ya kuujua (kivitendo). Kwamfano hapa mtaani kwetu kulikua na mzee alikua nauwezo wakugeuza majani kua fedha na kuitumia kama kawa.

Inasemekana kunasiku alikua akisafirisha pombe (Gongo) wakamkamata na kumpeleka mahakama ya mwanzo pale Chang'ombe, inasemekana alikana mashtaka nakudai kua police waliamua tu kumdhalilisha kwani yeye hakua amebeba pomba ni maji tu, na kweli badala ya ushahidi kuletwa mbele ikaonekana kweli ni maji sio pombe.

Kiufupi huyu mzee anastori nyingi na ninaimani dunia hii wako wengi tu. Binafs sitaku kuroga mtu bali natamani niwe mtu wa maajabu ikibidi niwe napaa kabisaaa!! Natamani niwe nayayuka, niwezekuingia hata IKULU bila kuonekana.

Napenda niwe kama Ng'wana Mapalala (jina sina uhakika nalo) tatizo sijui wapi pa kuipata Elim hiyo, nishajaribu kuwadodosa dosadosa wazee mbali mbali nikiamini labda watanipa mwanga lakini wapi? Kila mmoja wao anajifanya hajui tu, wakati wapo baadhi yao ni wachawi kweli na kila mtu anawajua hapa mtaani, sasa sijui nakosea njia ya kuwaomba au labda wana sheria zao za kujiunga? Kiufupi ni hayo tu, kama 'unamsaada wakuweza kuniba nitashukuru .
Du halafu wewe bwana mkubwa hutanii Hakika unamaanisha .mh Hatare
 
Mkuu unataka kuwa kachawi? Unamaanisha kweli? Au unatania? Una kifua cha kukabili mambo?

Badilisha nia Mkuu hutaweza!! Masharti ni magumu mno hutayaweza, wengine tumekulia kwenye kijiji cha mwenyekiti Wa wachawi kanda nzima lakini tulishindwa masharti vinginevyo tungekuwa tunakuja kukugegedea mkeo bila Wewe kutuona! Masharti utayaweza tu kama Wewe ni taahira! Sharti kubwa ambalo haliepukiki una mke? Una watoto? Una wazazi? Basi machawi yanamtafuta unayempenda zaidi kati ya hao yanakuomba uyape zawadi yaani umuue na mnaenda kumla nyama siku ya Wewe kusimikwa!!
 
Binaadam hatu fanani, kila mtu ana vitu vyake avipendavyo. Tangu nikiwa mdogo nimekua nikiusikia habari kuhusu UCHAWI, kitu ambacho tangu wakati huo nimekua nikipenda simulizi zake na naham ya kuujua (kivitendo). Kwamfano hapa mtaani kwetu kulikua na mzee alikua nauwezo wakugeuza majani kua fedha na kuitumia kama kawa.

Inasemekana kunasiku alikua akisafirisha pombe (Gongo) wakamkamata na kumpeleka mahakama ya mwanzo pale Chang'ombe, inasemekana alikana mashtaka nakudai kua police waliamua tu kumdhalilisha kwani yeye hakua amebeba pomba ni maji tu, na kweli badala ya ushahidi kuletwa mbele ikaonekana kweli ni maji sio pombe.

Kiufupi huyu mzee anastori nyingi na ninaimani dunia hii wako wengi tu. Binafs sitaku kuroga mtu bali natamani niwe mtu wa maajabu ikibidi niwe napaa kabisaaa!! Natamani niwe nayayuka, niwezekuingia hata IKULU bila kuonekana.

Napenda niwe kama Ng'wana Mapalala (jina sina uhakika nalo) tatizo sijui wapi pa kuipata Elim hiyo, nishajaribu kuwadodosa dosadosa wazee mbali mbali nikiamini labda watanipa mwanga lakini wapi? Kila mmoja wao anajifanya hajui tu, wakati wapo baadhi yao ni wachawi kweli na kila mtu anawajua hapa mtaani, sasa sijui nakosea njia ya kuwaomba au labda wana sheria zao za kujiunga? Kiufupi ni hayo tu, kama 'unamsaada wakuweza kuniba nitashukuru .

CC;
Majimoto
 
Last edited by a moderator:
mkuu ushawahi kuskia kiapo cha mchawi mpya anaeyetaka kujiunga? utachoka, eti kabla ya kujiunga na college hiyo lazma alishwe kinyesi cha mwenzie.

ila nakuombea mafanikio uchawi wako uwe positive,sio negative wa kumlaza mtu nje wakati kalala ndani hapo tutauana!
 
Unataka kuwa mchawi kwa hiari yako?
Sawa umechagua fungu "jema"!, utapata. Lengo la viapo vyote vya kichawi kama walivyotangulia wengine ni kuuza uzima wa roho yako kwa shetani kwa hiari yako.

Maana yake hakuna toba ya msamaha kwako milele. Najua wengi hawajui siri hii wanadai eti Mungu anasamehe dhambi zote! Uchawi uliotafuta kwa makusudi na kutoa kafara ukiwa na akiri timamu hausamehewi.

Nawafahamu wachawi kadhaa waliotubu kwa machozi na kukiri uchawi wao hadharani kwamba hawautaki tena, wakachoma na tunguri zao, wameombewa sana lakini uchawi uko pale pale.

Shetani yuko tayari kukupa chochote ikiwa utaamua kwenda nae jehanum. Yako makanisa mengi yanasali na wachawi wakijidanganya kwamba wamesamehewa, wanaishia kunyonywa damu kanisani, usingizi na mafarakano yasiyokwisha.

Katika kitabu cha matendo ya Mitume mnamkumbuka mtu anaitwa Bar Yesu, wakati wanafunzi wanajaa Roho Mtakatifu, mnajua kwa nini hakujaa?

Huu ndio ukweli HUTAKI UNAACHA
 
Hebu tueleze hizi habari kwa undani, najifunza kitu hapa mkuuu
 
Binaadam hatu fanani, kila mtu ana vitu vyake avipendavyo. Tangu nikiwa mdogo nimekua nikiusikia habari kuhusu UCHAWI, kitu ambacho tangu wakati huo nimekua nikipenda simulizi zake na naham ya kuujua (kivitendo). Kwamfano hapa mtaani kwetu kulikua na mzee alikua nauwezo wakugeuza majani kua fedha na kuitumia kama kawa.

Inasemekana kunasiku alikua akisafirisha pombe (Gongo) wakamkamata na kumpeleka mahakama ya mwanzo pale Chang'ombe, inasemekana alikana mashtaka nakudai kua police waliamua tu kumdhalilisha kwani yeye hakua amebeba pomba ni maji tu, na kweli badala ya ushahidi kuletwa mbele ikaonekana kweli ni maji sio pombe.

Kiufupi huyu mzee anastori nyingi na ninaimani dunia hii wako wengi tu. Binafs sitaku kuroga mtu bali natamani niwe mtu wa maajabu ikibidi niwe napaa kabisaaa!! Natamani niwe nayayuka, niwezekuingia hata IKULU bila kuonekana.

Napenda niwe kama Ng'wana Mapalala (jina sina uhakika nalo) tatizo sijui wapi pa kuipata Elim hiyo, nishajaribu kuwadodosa dosadosa wazee mbali mbali nikiamini labda watanipa mwanga lakini wapi? Kila mmoja wao anajifanya hajui tu, wakati wapo baadhi yao ni wachawi kweli na kila mtu anawajua hapa mtaani, sasa sijui nakosea njia ya kuwaomba au labda wana sheria zao za kujiunga? Kiufupi ni hayo tu, kama 'unamsaada wakuweza kuniba nitashukuru .
Mpigie shetani simu😄
 
wanasema kama elimu ni ghali basi jaribu ujinga!
angalizo: elimu niliyozungumzia sio ya kujifunza uchawi
 
uchawi upo wewe ni formulae maalum ambae profesa wake au mvumbuzi wake sifahamu ni nani!mf;~chukua nywele za mtu anayekuudhi ziweke ktk kiota cha ndege ambao bado wanakitumia uone nini kitatokea 2>kama mtu anakusemasema vibaya andika jina lake ktk karatasi na kwamba hutaki hakufuatefuate ishike karatasi ifinyange chukua kipande cha foil ya alumn kiweke na ku kunjia pamoja then au grab it / then iweke ktk deepfrezer isahau humuhumu,uone atakavyo funga domo haraka juu yako/what i mean uchawi ni formula tena ni easy principles weka laki 5 hapo nikupe formula mpk uchoke

We nowma .
 
Njoo kwangu saa nane usiku ukiwa na kanzu tu bila nguo za ndani na kichupa cha mafuta ya mgando ya rays au vasselin.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom