nahitaji kujifunza kupiga keyboard

realtz7

Senior Member
Oct 23, 2010
110
1
habari wana JF? naomba mwenye kufahamu ni chuo gani au mtu gani naweza kwenda na kujifunza kupiga kinanda? imekuwa interest yangu mda mrefu but sijui wapi ntapata. pia ningefurahi kama utanitajia na gharama pia nione km ni affordable. then km kuna mtu anayo key board nzuri/piano anaiuza tuwasiliane
 
nenda eneo moja karibu na kituo cha tuition mapambano kwa johme music centre au fika kanisa katoliki parokia ya sinza pale kuna vijana nwatakupa shule
 
Kaka unataka kuanzisha bendi ya mchiriku nini? Mie naweza kuwa mwimbaji ha ha ha. Kila la kheri
 
Wasiliana haraka sana na Member mmoja hapa ndani anaitwa Kaizer!
Utafurahi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom