safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,163
- 15,839
Umeongea jambo jema sana mkuuu ubarikiuweee..Nitoe ushauri kwako mleta mada na kwa wote wanaopenda kujifunza kuongea kiingereza kwa mtiririko mzuri.
When you want to speak, jaribu ku pronounce maneno slowly!
Yaani usitumie haraka.. Wengi wanataka waongee haraka haraka hata kabla hajaweza kuimaster vizuri lugha yenyewe ili tu aonekane anajua.
Hapo ndio watu wengi wanapoharibu!
Nenda taratibu. Hii inasaidia kuupa ubongo muda zaidi wa kutengeneza maneno mapya.. Sasa ukienda haraka mwishowe unajikuta unakwama!
Hii ni moja kati ya principles za kuongea kiingereza kwa mtiririko mzuri na ni muhimu sana japo wengi huwa hawalizingatii hili.
Wengi wanahisi kuongea taratibu wataonekana hawwjui.
Kumbe ile kuomgea taratibu unazoesha ulimi,kadri siku zikienda unazowea unaanza kuchaganya