Nahitaji kujifunza kuongea english bila kubabaika

mzizimpya

Member
Feb 11, 2018
78
21
Habari jf najua humu kuna wataaramu wa kuongea english bila kubabaika naomba mnijuze njia ninazoweza kuzitumia kujifunza bila kuwepo mwalimu
Maana nina ndoto za kuwa wa kimataifa
 
Unataka kujifunza bila mwalimu alafu uongee uongee kimombo kilichonyooka!
 
Habari jf najua humu kuna wataaramu wa kuongea english bila kubabaika naomba mnijuze njia ninazoweza kuzitumia kujifunza bila kuwepo mwalimu
Maana nina ndoto za kuwa wa kimataifa
Please get in touch with +255 713 039 875 for fluent English and Arabic
 
Back
Top Bottom