Nahitaji kujifunza kujua lugha ya kijerumani

713

Senior Member
Apr 1, 2018
106
250
Ndugu wanabodi nilikuwa naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kujifunza kijerumani kwa ufasaha kuongea na kuandika hata kama ni kwa njia ya mtandaoni nipo tiyari
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
3,417
2,000
Nimejaribu sana ndugu yangu sijui E-learning lakin bado hata kama kuna app au website naweza soma na kujifunza na nikapata cheti naomba ni saidie
Currently, Youtube is ranked the foremost learning institution, far better that Havard, Cambridge, MIT, Oxford and John Hopkins combined (just kidding!)
 
Lailah ila Issa

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
974
1,000
Unaambiwa hata Uishi miaka 100 ujerumani huwezi kuwa mjerumani...Hata uwe mweupe kama Albino na uongee kijerumani zaidi ya hitler bado huwezi kuwa mjerumani.
.Ndiyo Jinsi hawa jamaa wanavyojikubali wanaona hapa duniani mungu aliumba kwanza wajerumani kisha race zingine.
.Sasa wewe wa kwa mpalange sura nyeusi kama Kante unataka ujifunze Lugha ya waNazi ili ugundue nini? Au ndo kujipendekeza kwa wasiokutaka
 
Tatizo moja watanzania tumekariri maisha mm sijifunzi niwe mjeruman au niwe nan sijui najifunza sababu kaz yangu inataka hvo kutokana na wageni wanaokuja ila endelea kukariri hivo hivo watu wanajifunza jambo ili wawe flan au waishi kama wao. Ukikua utoto utaacha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom