luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 839
- 1,363
Mkuu,
Mimi ni mkulima wa mbogamboga na mfugaji pia, kwasasa nalima Cabbage(kilimo cha umwagiliaji) na bei yake ni nzuri sana sokoni kuanzia mwezi wa kumi mpaka wa kwanza though sina experience ya Songea..
Soko langu hasa ni Kenya na Arusha
Nakushauri yafuatayo
1.Fanya utafiti wa masoko ya mazao hasa mbogamboga(zinalipa sana)
2.Nenda field(mkulima ) mwombe umsaidie kujitolea kwake hata wiki moja(lengo ni kujifunza kwa vitendo, utajua mengi na yatakusaidia sana)
3.Andaa rough budget ya mradi
4.Anza mradi. Usisubiri pesa nyingi anza taratibu na ulichonacho
Ukifanya hivyo utanipa mrejesho soon
Kilimo hakiongopi.!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ww unalimia wapi?