Nahitaji kuhama fani kutoka uhasibu na kuhamia fani nyingine, mwaka wa masomo ujao. Hatua ipi nifanye?

FC2021

New Member
May 17, 2021
4
20
Habari za wakati huu,
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu, mwaka wa kwanza katika fani ya uhasibu. Naomba msaada katika mambo yafuatayo:

1.Nahitaji kuhama fani kutoka uhasibu na kuhamia fani nyingine, mwaka wa masomo ujao. Hatua ipi nifanye?

2.Nina mkopo kutoka HESLB, nitaweza vipi kubaki kuwa mnufaika wa mkopo huu?

MUHIMU:
Nimesoma semister ya kwanza na kufaulu masomo yote vizuri.

Nikili kufanya makosa katika kuchagua fani hii ya uhasibu, japokuwa naimudu kimasomo. SITAMANI KULAUMIWA KATIKA HILI. NILIPO SASA NAHITAJI MAWAZO YA KUFANIKISHA JAMBO HILI, ILI MWAKA WA MASOMO UJAO NIANZE UPYA MASOMO YANGU YA FANI NYINGINE HUKU CHUO KIKUU.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,211
2,000

Peer pressure itakumaliza. Acha kupoteza muda. Hata huko unakotaka kwenda bado utaona hapafai, kuwa na msimamo kuna sababu kwanin uko kwenye uhasibu, kaa tulia usome acha kuruka ruka.
 
braity

Senior Member
May 24, 2020
171
250
Habari za wakati huu,
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu, mwaka wa kwanza katika fani ya uhasibu. Naomba msaada katika mambo yafuatayo:

1.Nahitaji kuhama fani kutoka uhasibu na kuhamia fani nyingine, mwaka wa masomo ujao. Hatua ipi nifanye?

2.Nina mkopo kutoka HESLB, nitaweza vipi kubaki kuwa mnufaika wa mkopo huu?

MUHIMU:
Nimesoma semister ya kwanza na kufaulu masomo yote vizuri.

Nikili kufanya makosa katika kuchagua fani hii ya uhasibu, japokuwa naimudu kimasomo. SITAMANI KULAUMIWA KATIKA HILI. NILIPO SASA NAHITAJI MAWAZO YA KUFANIKISHA JAMBO HILI, ILI MWAKA WA MASOMO UJAO NIANZE UPYA MASOMO YANGU YA FANI NYINGINE HUKU CHUO KIKUU.
Unataka kusoma nn kipya zaid mzee mambo ni yaleyale kokote kule pambana tu

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom