Nahitaji kuhama chuo lakini sijui utaratibu

MACHELE13

New Member
Oct 6, 2020
3
0
Wadau habari zenu, nahitaji kuhama chuo lakini sijui utaratibu wa mimi kufanikisha hili, tafadhali nisaidieni kujua hatua za mimi kufanikisha hili suala langu.
 
kama uliconfirm ni process ndefu mpaka uende tcu ...na inategemea pia chuo kama kina nafasi bado...usipoangalia vizuri utaangukia mwakani utaapply tena..
 
Back
Top Bottom