NAHITAJI KUHAKIKI VYETI

rodreven

Member
Sep 13, 2017
55
94
Wana jukwaa anaemfahamu wakili yyte anipigie muhuri vyeti vya shule vyote kwa 10k.
Nipo dar es salaam #gomc
Dm me for deal
 
Duuh mbona ni hatr io 25k kwa usawa huu
Office za mawakili wanacertisfie cheti kimoja kwa 5000 ,ili kukidhi gharama za kuendesha ofic zao na kulipa frem ....

Ukienda mahakaman ,serikali ukiwa na 10000 ,huna muda wa kuongea Sana ,unapigiwa mihuri vyeti vyote bila shida...
 
Nashukuru mkuu kesho nitaenda huko
 
Back
Top Bottom