utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,830
- 2,417
Wanabodi,
Samahanini sana kwa baadhi ya comments na mabandiko niliyoandika huko nyuma mbunge sugu katika jimbo lake kuwa 2020 hawez kurud na akifanikiwa kurudi naachana na siasa sasa kama niliyaandika na nahitaj kuomba msamaha hapahapa.
kiukwel nimeangalia kwa upana sana ziara ya rais wang John Magufuli nimepima wananchi wa mbeya nikaangalia sugu anavyoenda na mdundo wa ziara ya mkuu wa nchi.
Pia nikakaa nikaangalia Malumbano ya hoja yaliyofanyika hapo juzi Mkoani mbeya kupitia kituo cha ITV nikaona hapa mlima mrefu kuupanda huku pumzi kwetu ndogo.
Nasibitisha kumtoa Sugu mbeya mjini ni ngumu sana na siasa za watu wa mbeya wengine tunazifahamu vizur mana tumezaliwa huko so nathibitisha ndugu zang wana CCM kumtoa sugu kwenye sanduku la kula haipo wala haiwezekan labda itumike njia kuu aliosema kaka yang NAPELIGWE NNAUYE.