Nahitaji kufuta kauli kabla ya muda

Sasa mpeni taarifa mama yenu Tulia , atulie , acheni kutafuna hela zake za ufadhili wa ngoma za kienyeji , yaani watoto wake wanasoma shule nzuri halafu watoto wetu wakate viuno halafu awape fanta moja moja ! Loli atwangalile fijo Tulia bha gwitu !
hahahahaha hapo mwishoni aisee itabid aambiwe hamna namna
 
kumtoa sugu ccm hawahitaji kuungwa mkono na wanambeya wote Bali ni wanaccm na mkurugenzi Wa jiji ambaye ndo msimamizi Wa uchaguzi full stop. Tulia atapenya tu Mbeya watake wasitake ndo mbunge wao kuanzia novemba 2020.
 
hujakosea ndo nilichoshauri
 
Mrengo niliopo "kwa kutumia box hatumuwezi tutumie njia mbadala tu" Nimemaliza

Uzuri hii tabia ya nyie kuanza kuwa wakweli iko hata kwa mwenyekiti wenu. Jana nilimsikia kijiji kimoja huko Mbeya waliotaka aingilie kati bei ya viazi vyao kwa wafanyabishara alipowaambia yeye hawezi kuingilia na kupanga bei kwamba hao wafanyabishara wanaweza kuacha hata kwenda kununua. Nadhani kwenye biashara ya korosho amegundua urais sio kila kitu.
 
Ukweli ni ukweli, tatizo mnachagua ukweli mnaoupenda. Mtu akisema Jpm atashinda kwa kishindo 2020 zaidi ya 2015 anatukanwa.

Hujatukanwa bali ulipewa ukweli wako, kwa kura halali ni kweli JPM atashinda ila sio kwa kishindo, na wagombea wa udiwani na ubunge ccm haiwezi kuvuka 60%, lengo la ccm ni kushinda kwa 90%+ kitu ambacho tunasema hakiwezekani. Kwenye hizi chaguzi za marudio kuna mahali niliona mgombea wa ccm akiwa ameshindwa kwa zaidi ya 60% alitangazwa mshindi baada ya wasimamizi wa upinzani kupigwa sana na polisi na kushinikizwa kusaini fomu za matokeo zisizo sahihi.
 
Uzuri hii tabia ya nyie kuanza kuwa wakweli iko hata kwa mwenyekiti wenu. Jana nilimsikia kijiji kimoja huko Mbeya waliotaka aingilie kati bei ya viazi vyao kwa wafanyabishara alipowaambia yeye hawezi kuingilia na kupanga bei kwamba hao wafanyabishara wanaweza kuacha hata kwenda kununua. Nadhani kwenye biashara ya korosho amegundua urais sio kila kitu.
nithibitishie hilo la viazi
 
kumtoa sugu ccm hawahitaji kuungwa mkono na wanambeya wote Bali ni wanaccm na mkurugenzi Wa jiji ambaye ndo msimamizi Wa uchaguzi full stop. Tulia atapenya tu Mbeya watake wasitake ndo mbunge wao kuanzia novemba 2020.
Kwanini mnataka kuleta mauaji yasiyo ya lazima ? kura 500 kwa kura elfu 65 bado mnataka kupindua matokeo ?
 
mkuu kwa hiyo unataka kuniambia hata mwakyembe au mwambalaswa au kibajaji au mwigulu hawakushinda kihalali
Kwenye kile chama cha maharamia wanaoshinda kihalali hawafiki ata 20 mkuu, wanaoshinda kihalali na kweli wapo kwenye mioyo ya watu tunaanza na kijana wetu alietwaliwa deo filikunjo, njoo kwa mwezi wa kwanza, cheki na jiwe wa enzi hizo.
 
kumtoa sugu ccm hawahitaji kuungwa mkono na wanambeya wote Bali ni wanaccm na mkurugenzi Wa jiji ambaye ndo msimamizi Wa uchaguzi full stop. Tulia atapenya tu Mbeya watake wasitake ndo mbunge wao kuanzia novemba 2020.
Hili halina ubishi, r. i. p akwilina.
 
UKITAKA KUJUA KWANN NIMEFUTA KAULI NENDA INSTAGRAM KASOME COMMENT YA POST AMBAYO RAIS MAGUFULI ALIPOKUWA UYOLE LEO NDO UTAJUA SUGU NI NAN KWA MBEYA. ...jaman bila njia zetu lile jimbo hatuliwez
 
Back
Top Bottom