Nahitaji kufuta kauli kabla ya muda

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,489
2,000
Wanabodi,

Samahanini sana kwa baadhi ya comments na mabandiko niliyoandika huko nyuma mbunge sugu katika jimbo lake kuwa 2020 hawez kurud na akifanikiwa kurudi naachana na siasa sasa kama niliyaandika na nahitaj kuomba msamaha hapahapa.

kiukwel nimeangalia kwa upana sana ziara ya rais wang John Magufuli nimepima wananchi wa mbeya nikaangalia sugu anavyoenda na mdundo wa ziara ya mkuu wa nchi.

Pia nikakaa nikaangalia Malumbano ya hoja yaliyofanyika hapo juzi Mkoani mbeya kupitia kituo cha ITV nikaona hapa mlima mrefu kuupanda huku pumzi kwetu ndogo.

Nasibitisha kumtoa Sugu mbeya mjini ni ngumu sana na siasa za watu wa mbeya wengine tunazifahamu vizur mana tumezaliwa huko so nathibitisha ndugu zang wana CCM kumtoa sugu kwenye sanduku la kula haipo wala haiwezekan labda itumike njia kuu aliosema kaka yang NAPELIGWE NNAUYE.
 

Mkwaruu

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
2,943
2,000
Hongera Mku pale tunakokuona ni vigumu kumtoa Mtu tuwe wawazi ndio siasa za ushindani
 

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
2,919
2,000
Mkuu kwani uliowataja wameshawahi kushinda kihalali kwenye sanduku la kura zaidi ya faulo za wazi wazi?? Au we ni mgeni wa hii jamuhuri?? Subiri utamuelewa vzr chahalamilan.
 

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,489
2,000
Mkuu kwani uliowataja wameshawahi kushinda kihalali kwenye sanduku la kura zaidi ya faulo za wazi wazi?? Au we ni mgeni wa hii jamuhuri?? Subiri utamuelewa vzr chahalamilan.
mkuu kwa hiyo unataka kuniambia hata mwakyembe au mwambalaswa au kibajaji au mwigulu hawakushinda kihalali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom