Nahitaji kufungua Tution Centre kubwa katika Mkoa wangu naombeni ushauri

Wilinasi Petroleum

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
207
197
Habarini ndugu zangu,

Nahitaji kufungua tuition centre yangu kubwa katika mkoa wangu, ili nisaidie jamii yangu.

Hebu nisaidieni mawazo, changamoto zake ni zipi? Na mahitaji ni Yepi?
 
Ni sawa na kuhama kanisani na kuanzisha huduma ya kiroho pembeni inayotanguliza pesa kama kuuza vumbi, chupi, chumvi n.k.

Kibongobongo twisheni =
1. fundisha uongo shuleni, fundisha ukweli kando
2. Hudhuria shuleni ulipwe mshahara, anzisha kijiwe Cha kuomba rushwa
 
Wewe bado huelewi vizuri chief, ndio maana unaponda tuition, bila tuition wengine tusingefika hapa tulipo hata watoto wa Feza boys wanasoma tuition mjomba hata Marian chief
 
Ni sawa na kuhama kanisani na kuanzisha huduma ya kiroho pembeni inayotanguliza pesa kama kuuza vumbi, chupi, chumvi n.k.

Kibongobongo twisheni =
1. fundisha uongo shuleni, fundisha ukweli kando
2. Hudhuria shuleni ulipwe mshahara, anzisha kijiwe Cha kuomba rushwa
Mimi hawa ndio walimu wangu, Sir Unga Chemistry, Mood Physics, bila hawa jamaa mimi nisinge tusua kabisa
 
Back
Top Bottom