Naomba mnipe maoni yenu kama nataka kufungua microfinance kwa million 10 utawezekana(working capital)

Sio dhambi kuanzisha

Mtaji inategemea na Aina ya wateja unaowatarget, viwango vya mikopo na muda wa marejesho.Hapo ndio pa kuanzia kufikiria kuhusu Mtaji.( ukikosea hapo madhara yake ni kutengeneza defaulters, kutotoa mikopo kwa wakati kwa wanaorejesha vizuri na kupoteza reputation etc.)
Natoa ushauri technical namna ya kuendesha microfinance kwa fee ndogo ya makubaliano.ni PM
Mi nlifungua ya kwangu bubu mwaka 2012 na mtaji wa 10m kama wewe sasaivi nazungusha 500m na faida nyingine nazi divert kwenye miradi mingine. Unakuja unaweka gari baada ya kuithaminisha tunakubaliana nikupe sh ngapi ambayo normally ni 30% ya market value ya gari kulingana na condition. Ukikubali nakusainisha mkataba then unaacha gari kwenye yard na docs zake. Ukishindwa kulipa nauza gari. Tatizo ya hii biashara ni kujenga uadui na watu pale unapotaifisha gari zao ingawa ni wao wanakuwa wameshindwa kutimiza masharti ya mkataba. Inabidi uwe bandidu kweli kweli otherwise lazma ufanyiziwe. Na pia kwa biashara hii kwa imani za dini peponi inakua ngumu sana kuingia. Sasa amua mwenyewe. Kama vipi ni PM nikupe darasa. Riba always ni 30% kwa mwezi.

Ndugu nikiitaji msaada wako ntakupataje?