Johnkelly
Member
- Nov 14, 2016
- 75
- 45
Nahitaji kufunga music systems bajet yangu ni 1m. Naombeni ushauliView attachment 1007709
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini afinge injini mpya...tujuze zaidiAnza kuandaa na pesa za kufunga injini mpya...
Nasikia hizi rotary engine hazidumu. Hii gari haitumii engine ya Piston.
kumbe unasikiaNasikia hizi rotary engine hazidumu. Hii gari haitumii engine ya Piston.
Nahitaji kufunga music systems bajet yangu ni 1m. Naombeni ushauliView attachment 1007709View attachment 1007710View attachment 1007711
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu ugonjwa mbaya saaana mwenzio anamiliki dinga ya maana jitahidi kutafuta pesa acha wivuAnza kuandaa na pesa za kufunga injini mpya...
Mkuu. Soi wivu. Namuandaa kisaikolojia.Wivu ugonjwa mbaya saaana mwenzio anamiliki dinga ya maana jitahidi kutafuta pesa acha wivu
binafsi huwa siamini kama mazda ni mbaya coz markani mazda zinauzika sana...sasa ingekuwa ni mbovu waamerika wangezinunua kweli??Wivu ugonjwa mbaya saaana mwenzio anamiliki dinga ya maana jitahidi kutafuta pesa acha wivu
Mzee kwa maisha ya Jf ni hatari kuacha alama zako (Pleti namba)Nahitaji kufunga music systems bajet yangu ni 1m. Naombeni ushauliView attachment 1007709View attachment 1007710View attachment 1007711
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka wa wastani nipate bass nzuri ndan hiyo 1m nilitenga tu kwaajiri ya mziki coz napenda mzikiMagari kama hayo yanapendeza kama ukiliacha na radio iliyokuja na gari. Pia ukiweka mziki mkubwa (1m worth of music) utaongeza uzito usio wa lazima, utaharibu performance yake.
Rotary engine hyo, kuna siku utakuwa unaongea peke yako barabarani! Hizo gari ni vichomiNataka wa wastani nipate bass nzuri ndan hiyo 1m nilitenga tu kwaajiri ya mziki coz napenda mziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusihi sio vizuri kuonesha hizo namba za gariNahitaji kufunga music systems bajet yangu ni 1m. Naombeni ushauliView attachment 1007709View attachment 1007710View attachment 1007711
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikwambia hawezi hudumia hiyo gari?Rotary engine hyo, kuna siku utakuwa unaongea peke yako barabarani! Hizo gari ni vichomi
Sent using Jamii Forums mobile app