Nahitaji kufika Engarenaibor Longido

FURY BORN

JF-Expert Member
Jul 11, 2020
638
1,145
Wakuu nahitaji kufika ilipo shule ya sekondari Engarenaibor Longido nikitoka Arusha.

Je, kuna gari za moja moja toka Arusha kwenda huko au ni lazime niende mpaka Longido mjini au Namanga? Na nauli ikoje?

Naomba kueleweshwa Kwa wanaojua hii shule ilipo.

Natanguliza shukrani
 
Wakuu nahitaji kufika ilipo shule ya sekondari Engarenaibor Longido nikitoka Arusha, Je kuna gari za moja moja toka Arusha kwenda huko au ni lazime niende mpaka Longido mjini au Namanga? Na nauli ikoje? Naomba kueleweshwa Kwa wanaojua hii shule ilipo, natanguliza shukrani
Panda Hiace za Namanga shukia Longido kuana Gari za kwend mpaka Happ shuleni.
 
Back
Top Bottom