Nahitaji kufanya kazi na M-PESSA, tiGO PESSA, Zan PESSA na Zap PESSA

Nimechoka kuandika leo, nipigie simu nikupe utaratibu mzima, huna haja ya kusafiri. 0757 212122. Kazi ni kwako!
:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:... yaani umeyaficha maujanja yote... umeyatamia...:yell::yell::yell::A S-fire1::A S-fire1:
 
Wadau ni njia zipi nifuate ili kufanya kazi na haya makampuni???
Pls kwa anayejua na aliyefanya nao naomba anaeleze.
N:B Pia mapungufu ya kazi hiyo mniambie wadau.
Kwa urahisi waweza ni sms a.rashid@jigambe.com

Hupati kazi kwa kuwa hujui kuandika..m pessa ndo nini?nenda kalime unajaza nafasi tu mjini hapa
 
Lakini ameeleweka!

..Tusijifariji kirahisi hivyo. Ndio anguko letu. issue hapo sio Kueleweka bali umakini. Huyu mtu anataka kufanya biashara ya Pesa na Mpesa, Tigo Pesa nk lakini hana UMAKINI hata wa kufahamu tu kuwa hakuna double S kwenye PESA, unategemea kwenye biashara ya pesa inayohitaji uangalifu mkubwa itakuwaje??

 
Back
Top Bottom