Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
huwa napenda kuweka links ila inakuwa tatizo kwangu. inategemea na kompyuta au ni ujuzi tu unatakiwa? kwa mfano unaambiwa bonyeza hapa inakupeleka kwenye site nyingine. ningependa kujua hivyo

una sh ngapi?...huwa napenda kuweka links ila inakuwa tatizo kwangu. inategemea na kompyuta au ni ujuzi tu unatakiwa? kwa mfano unaambiwa bonyeza hapa inakupeleka kwenye site nyingine. ningependa kujua hivyo
una sh ngapi?...
http://www.youtube.com/watch?v=a0-6s9RYVtA
mnataka kama hivyo au?
kama hv http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=12113
http://www.youtube.com/watch?v=a0-6s9RYVtA
mnataka kama hivyo au?
kama hv http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=12113
Mimi nataka kujua jinsi ya kubadilisha rangi ya picha
Kingi,wenye noleji wanabana
for youtube links just copy and paste and it will display as you want!Mimi pia ningependa kufahamu jinsi ya kuweka video kutoka youtube,kuiweka JF.
Geoff naona uko ki kazi zaidi, yaani hapendwi mtu ila pochi lake, komaa nao babaake ila ungetutoa kwa hilo ingekuwa JF family zaidi, kuliko hayo mamichuzi unayoyataka wewe!!una sh ngapi?...
huwa napenda kuweka links ila inakuwa tatizo kwangu. inategemea na kompyuta au ni ujuzi tu unatakiwa? kwa mfano unaambiwa bonyeza hapa inakupeleka kwenye site nyingine. ningependa kujua hivyo
Na mimi pia mkubwa hope wajuzi watakuja na kutuambia hapa!!
Wakuu tunaomba mtufundisha maujanja.
Mimi pia ningependa kufahamu jinsi ya kuweka video kutoka youtube,kuiweka JF.
wenye noleji wanabana
Kwa ambaye hajaelewa maelezo hayo hapo juu anaweza kudownload document yangu ambayo nimeiambatanisha hapa chini, ambayo ina screen shots kwa ajili ya uelewa zaidi.
Hope itawasaidia wengi sana
mkuu nashukuru kwa maelezo yako. kuna mdau pia keshanielekeza. ni huyu. ushow us how to put that multiple quotation and life is gonna be easy
ila sio lazima iwe katika bold....anyway..nice job...Kwa ambaye hajaelewa maelezo hayo hapo juu anaweza kudownload document yangu ambayo nimeiambatanisha hapa chini, ambayo ina screen shots kwa ajili ya uelewa zaidi.
Hope itawasaidia wengi sana
Ukitaka kuweka multiple quote ya kawaida huwa unabonyeza sehemu ya "Quotes". Sasa ukitaka kuweka multiple quotes unabonyeza sehemu ya "Mult-on", chini ya kila post ambayo unataka uijibie. Kwa hiyo basi, kwa kila post unayotaka kujibia unabonyeza hapo kwenye mullti-on. Ukishamaliza kuzichagua unabonyeza sehemu ya "Post reply" na hizo 'multiquotes' zote zitaonekana na utaanza kuzijibia.
Nadhani nimeeleweka.