Nahitaji kufahamu juu ya kujiunga na Chuo Kikuu Huria pia na kozi zake

May 9, 2021
6
1
Kwa yeyote anaefahamu juu ya utaratibu wa kujiunga chuo Kikuu huria anieleze utaratibu wa ada na je uwezekano wa kufanikiwa kuhitimu kwa wakati upo? Nahitaji kusoma master hasa master inayohusu ukaguzi wa taasisi za elimu kama shule, vyuo nk
 
Wanaohitimu hawanufaiki na mikopo ya elimu ya juu Ila wanaoanza masomo wananufaika pindi wanapofuata utaratibu kama wanafunzi wengine.. Ieleweke OUT ni registered university kama university zingine hivo utaratibu ni ule ule utoafiti ni namna ya utoaji was masomo tu.
Hivi wanafunzi wanaohitimu OUT wananufaika na mikopo ya elimu ya juu?
 
Back
Top Bottom