Nahitaji kufahamishwa maduka ya vifaa vya ujenzi Kariakoo

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,448
6,312
Mwenye kujua maduka ya Vifaa Vya Ujenzi ambayo bei zake ni rafiki Sana Kariakoo anipe direction
 
Sio kweli
Total Mwenge ilikuwa milion 3 na Kariakoo nimepata kwa milion mbili na laki 5 na kuna duka la Wasomali nimepata kwa cheap zaid
 
Mwenye kujua maduka ya Vifaa Vya ujenzi ambayo bei zake ni rafiki Sana Kariakoo anipe direction
Vifaa vya Bomba nenda kwa heko k.koo mtaa wa Swahili, vifaa km vitasa nenda Hozeifa hapo hapo Swahili, umeme nenda mtaa wa narung'ombe ulizia mtu mmoja anaitwa Abbas n maarufu Sana,

One love
 
Back
Top Bottom