Nahitaji kuanzisha Kiwanda cha kutengeneza Chokaa! Naomba mnishauri wa namna ya kukianzisha

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,424
13,381
Habari waungwana !

Hivi karibuni nilibahatisha kiwanja cha mawe ya chokaa(mgodi) ekari 50 nikakinunua kwa taratibu zote

Naomba Wajasiriamali mnishauri juu ya uanzishaji kiwanda, majhitaji ya mashine na je nazipataje?

Kama kuna mtu mshauri mzuri(mtaalamu) na juu ya masoko.
 
hapo jaribu kutembelea viwanda vya chokaa uone wanafanya nini itakurahisishia kujua nini unahitaji na nini au hitaji katika kujenga kiwanda cha chokaa
 
Habari waungwana !
hivi karibuni nilibahatisha kiwanja cha mawe ya chokaa(mgodi) ekari 50 nikakinunua kwa taratibu zote,sasa naomba wajasiriamali mnishauri juu ya uanzishaji kiwanda ,majhitaji ya mashine na je nazipataje ,au kama kuna mshauri mzuri(mtaalamu) na juu ya masoko.
Sehemu gani hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom