Nahitaji ku unua gari kati ya alteza na mark x

Johnkelly

Member
Nov 14, 2016
75
45
Wadau kama nilivyo saema juu hapo nahitaji gari kat ya hizo mbili nipeni ushauli ktk spare. Mafuta na body
But alteza ni manual
 
Chukua teza ya 4 cylinder ikiwa na engine ya 3sge utainjoy sana..mark ten kopo lasoda.. Likibonyea kidogo tu sura imepotea
 
Back
Top Bottom