Nahitaji kreti tupu za bia au za soda Dar es Salaam

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,615
38,589
Habari,

Mwenye kreti tupu za bia na soda kampuni kampuni Coca, pepsi, SBL na TBL nahitaji.

Zingatia bei za kreti kwenye magari (wasambazaji) ni 10k so make sure bei zako zipo chini ya hapo. Asante

0658643636
 
Habarii
Mwenye kreti tupu za bia na soda kampuni kampuni coca,pepsi,sbl na tbl nahitaji.

Kreti kiasi gani unataka?
 
Habarii
Mwenye kreti tupu za bia na soda kampuni kampuni coca,pepsi,sbl na tbl nahitaji.

Zingatia bei za kreti kwenye magari (wasambazaji) ni 10k so make sure bei zako zipo chini ya hapo. Asante

0658643636
10k ni laki ama ni elfu 10
 
Mkuu ukihitaji Meneja wa Bar yako naomba usinisahau kwenye ufalme wako!
 
Kwa Nini ma manager mnakula Sana wahudumu wa bar Kila akija mpya mnapakua Kwanza pia kwa nini mda wote mpo mitungu mmelewa
 
Swali lako liko too general mkuu. Wapo Mameneja hawanywi Pombe kabisa,wapo wasiojihusisha na Wahudumu wa Bar. Yaani wao ni mwendo wa kazi tu. Lakini wapo pia hao uliowataja, kila mtu ana interest ama hulka yake. Kikubwa ni kuangalia ufanisi wa kazi. Wapo wahudumu ni Wives materials kabisa lakini wengi wetu huwa tuna mindsets za kwamba kila Baamedi ni Malaya/Cheap.
Tusikariri haya. Hizi ni kazi kama kazi nyingine
 
Mkuu asilimia kubwa wanafanya hivyo kutokana na mazingira ya kazi yenyewe inashawishi,, bila kuleta siasa uchwara hapa baamed wanatumika Sana zaidi ya Malaya and they don't care kutokana na wazingira yenyewe ya vinywaji, kulewa na offer na walevi..
 
Yaani Mkuu hakuna nilipokukatalia mazima,ila nilipinga wewe kujumuisha wote kabisa.

In my Experience,nimewahi kuona Waitress anayefanya kazi bila mawaa. Akinunuliwa Bia anakubali anakunywa Maji ama Soda/Juice tu. Bakishishi anakaa nayo,alikuwa anafanya kazi kiasi kwamba baada ya miezi 6 ilibidi akaenda COUNTER (Kwa baa,mhudumu wa kaunta analipwa zaidi ya wahudumu wa nje. So ni kama alipanda cheo!) Alijiheshimu mno japo alikuwa charming kuliko kawaida,ukimwangalia kama anakutaka hivi kumbe ni hospitality techniques.
Nasikia alishaolewaga ana familia yake kwa sasa.

Nimetolea mfano huyo mkuu kuonesha wapo watu ni kazi tu,ila sasa ni wachache wa hivo na hata wakiwepo wanafunikwa sana na uwepesi wa wengine wanaofanya biashara ya miili pia huku ni mabaamedi. Lakini pia na nyie mabosi (Wenye baa) inategemea na vipaumbele vyenu,wengi wenu mnapena mabaamedi wanaosikiliza mteja kwa kila kitu yaani wajirahisi. Naelewa kibiashara inalipa maana sisi wanaume ndo baa tunazopenda hizo. Kwa hiyo kama ni Meneja hapo nami naangalia interests za Bosi kabla ya chochote then kazi zinaendelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom