Nahitaji Korosho jamani

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hello Gentleman and ladies,
Natafuta Korosho kwa bei ya jumla please. Nahitaji debe moja tuu ambazo zimeondolewa maganda yake .ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani .
Asanteni sana sana .
 
Kwa kweli bei siijui ila wewe sema tu kwa kg moja ni shs ngapi boss ,kama hutojali naomba number ya simu please. Thanks
bora ununue wewe zenye maganda hata gunia ni rahis kwa kuwa kilo ya maganda haizidi 5,000/- una weza mudu nunua hata debe mbili au gunia moja la kg 100... lakini zilizo chambuliwa mkuu utauziwa kwa bei ya gunia moja au gunia mbili...

korosho zilizo chambuliwa ni bei kuliko zilizo na maganda
 
Korosho zina grade mkuu...baada ya kuokota kutoka shamba inachambuliwa nzuri nzuri na ndio inatengenezwa...baada ya hapo huuzwa 17-18 per kg kulingana na soko
 
Na hii ni bei ya Vijijini kwa Zilizobanguliwa. Zikifika Dar kilo 25000 mpk 30000 .
 
Mkuranga kibiti mkongo muhoro rufiji matingini mpaka lindi... kilo ya korosho ikizidi elfu 10... hisiyo banguliwa kuna middleman.... maana huko nimetoka wiki iliyopita huko kote nilipo pataja... na korosho zipo ktk miti ndio msimu una enda mwisho... korosho zipo nyingi zikiisha mwezi wa kumi na mbili kuna kuja msimu wa embe (embe dodo) watu wanaenda kununua miti huko ya maembe ili waje kupiga pesa kwa bakhresa pale mkuranga ktk kiwanda chake... na embe watu wana nunua kuanzia sh. mia hadi 150 ktk mti mna esabiana maembe yakiiva anakuja kuvuna ana tembea kuuza pale au rejereja mjini kuanziaa mia 5....

mkuu hizo bei ni zenu za kibiashara baada ya kuvuna kutoka kwa mkulima ambaye anapata kidogo alafu watu wanauza maradufu...
 
Huko rufji kuna wasukuma wana lima balaa... juzi nilpo kuwa huko nimeshuhudia gunia la kg 100 la viazi vitamu wanauza kwa sh. 30,000/- hadi 40,000/- na watu wanaenda kununua huko na kusafirisha kuja mjini kuuza....
 
Korosho zina grade mkuu...baada ya kuokota kutoka shamba inachambuliwa nzuri nzuri na ndio inatengenezwa...baada ya hapo huuzwa 17-18 per kg kulingana na soko

mkuu nimekuwa huko mikoa ya kusini wakati wazee wanafanya kazi na nimesoma huko na nina marafiki huko... mara kwa mara huwa naenda huko au kuwapigia simu... bei nazifahamu... sio hizo unazo sema wewe hata ktk mnada wa korosho halmashauri ya masasi ukiingia ktk website yao utaona... ni za kawaida sana... na wakulima hawakuzalisha sana mwaka huu... mikorosho shmba huko masasi vijijini kwa hekari na lina mikorosho una pata kuanzia elfu 30... huko ruvuma hadi elfu 10.... vijijini na kuna maeneo vijiji wanakupa ulime bure....

huko naendaga kuchukua samaki wa kula maana ni watamu kuliko wa ziwa victory... na prawns ni watamu kuliko wa bahari...
 
Mkuranga kibiti mkongo muhoro rufiji matingini mpaka lindi... kilo ya korosho ikizidi elfu 10... hisiyo banguliwa kuna middleman.... maana huko nimetoka wiki iliyopita huko kote nilipo pataja... na korosho zipo ktk miti ndio msimu una enda mwisho... korosho zipo nyingi zikiisha mwezi wa kumi na mbili kuna kuja msimu wa embe (embe dodo) watu wanaenda kununua miti huko ya maembe ili waje kupiga pesa kwa bakhresa pale mkuranga ktk kiwanda chake... na embe watu wana nunua kuanzia sh. mia hadi 150 ktk mti mna esabiana maembe yakiiva anakuja kuvuna ana tembea kuuza pale au rejereja mjini kuanziaa mia 5....

mkuu hizo bei ni zenu za kibiashara baada ya kuvuna kutoka kwa mkulima ambaye anapata kidogo alafu watu wanauza maradufu...
Nimekwambia korosho Zilizobanguliwa kilo Vijijini ni 17000 mpk 18000 korosho ambazo hazijabunguliwa ukinunua kwa mkulima ni 2500 mpk 3000 kwa kilo, kwenye maghala ya ushirika korosho inanunuliwa kuanzia 3500 mpk 4000 au inategemea bei elekezi Kutoka juu
 
mkuu nimekuwa huko mikoa ya kusini wakati wazee wanafanya kazi na nimesoma huko na nina marafiki huko... mara kwa mara huwa naenda huko au kuwapigia simu... bei nazifahamu... sio hizo unazo sema wewe hata ktk mnada wa korosho halmashauri ya masasi ukiingia ktk website yao utaona... ni za kawaida sana... na wakulima hawakuzalisha sana mwaka huu... mikorosho shmba huko masasi vijijini kwa hekari na lina mikorosho una pata kuanzia elfu 30... huko ruvuma hadi elfu 10.... vijijini na kuna maeneo vijiji wanakupa ulime bure....

huko naendaga kuchukua samaki wa kula maana ni watamu kuliko wa ziwa victory... na prawns ni watamu kuliko wa bahari...
Pori tupu la heka moja huko Vijijini linauzwa kuanzia mil 1 mpk laki sita, shamba la korosho una kodi heka kwa sh 250000 mpk laki tatu sembuse lenye mikorosho liuzwe 30000. Nipe no ya simu ya Hao wanaouza shamba la mikorosho Eka 30000 nikanunue.
 
mkuu nimekuwa huko mikoa ya kusini wakati wazee wanafanya kazi na nimesoma huko na nina marafiki huko... mara kwa mara huwa naenda huko au kuwapigia simu... bei nazifahamu... sio hizo unazo sema wewe hata ktk mnada wa korosho halmashauri ya masasi ukiingia ktk website yao utaona... ni za kawaida sana... na wakulima hawakuzalisha sana mwaka huu... mikorosho shmba huko masasi vijijini kwa hekari na lina mikorosho una pata kuanzia elfu 30... huko ruvuma hadi elfu 10.... vijijini na kuna maeneo vijiji wanakupa ulime bure....

huko naendaga kuchukua samaki wa kula maana ni watamu kuliko wa ziwa victory... na prawns ni watamu kuliko wa bahari...
Apa unajaribu kujenga hoja gan? Sijakuelewa...bei ya korosho iliyobenguliwa n 17- 18k per kg...huko kijijini we unasema sio hii ni sh ngap?
 
Nimekwambia korosho Zilizobanguliwa kilo Vijijini ni 17000 mpk 18000 korosho ambazo hazijabunguliwa ukinunua kwa mkulima ni 2500 mpk 3000 kwa kilo, kwenye maghala ya ushirika korosho inanunuliwa kuanzia 3500 mpk 4000 au inategemea bei elekezi Kutoka juu
Mimi hata sijamuelewa huyo jamaa anachozungumzia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom