Nahitaji Kompyuta kwa bajeti ya Tsh 250,000-350,000

28October

JF-Expert Member
Aug 26, 2020
285
362
Salama ndugu zangu, kwa machinga wa karume dar es salaam poleni sana.

Nina shida na computer LAPTOP nzuri ambayo bei yake ni ya range 250,000/= (laki mbili na elfu 50) mpaka 350,000/= (laki 3 na elfu 50). pia nina shida na bettry ya computer aina ya TOSHIBA (PORTEGE R705)

Location nilipo ni DAR ES SALAAM.

Note: computer iwe kampuni ya DELL. HP. TOSHIBA. SAMSUNG AU LENOVO
 
Back
Top Bottom