Nahitaji Kiwanja

amatuks

Member
Jul 17, 2014
69
10
Habari wadau. Nahitaji kununua kiwanja Dar katika maeneo yafuatayo, kigamboni nje ya eneo la mradi,mmbande,mbagala,toa ngoma, gezaulole, sala sala, madale bajeti yangu ni 5m. Mwenye nacho aniPM tufanye biashara. Kisizidi hiyo bajeti tafadhali.
 
Ninavyo vipo Tumbi kichangani karibu 15km toka kigamboni. ukubwa 35x70 sawa na nusu ekali. nichek 0718 290 779
 
Habari wadau. Nahitaji kununua kiwanja Dar katika maeneo yafuatayo, kigamboni nje ya eneo la mradi,mmbande,mbagala,toa ngoma, gezaulole, sala sala, madale bajeti yangu ni 5m. Mwenye nacho aniPM tufanye biashara. Kisizidi hiyo bajeti tafadhali.

Ongeza ifike 7m nikuuzie Salasala 20x20
 
ninacho nauza! kipo goba kunguru (st.joseph)kina nyumba ya kurebisha ina umeme kipo hatua tano kutoka hifadhi ya barabara 20*25 eneo zima 25M neg dalali hatakiwi
 
nina kiwanja kigamboni sqmt 1700, amani gomvu, kiwanja kiko nje ya mradi, kiwanja hakiko mbali na barabara kuu ya kuelekea kimbiji....kiwanja kimepimwaaa
kwa maelezo zaidi ya bei ni pm
 
Niacho kiwanja kipo mbande nauza 4.5m kipo pazuri na kuna matofali 2000 ambayo nilifyatua mwenyewe kwa uwiano wa mfuko mmoja wa cement tofali 40 ukichkua na tofali nauza 6.5mil 0712151818
 
Habari wadau. Nahitaji kununua kiwanja Dar katika maeneo yafuatayo, kigamboni nje ya eneo la mradi,mmbande,mbagala,toa ngoma, gezaulole, sala sala, madale bajeti yangu ni 5m. Mwenye nacho aniPM tufanye biashara. Kisizidi hiyo bajeti tafadhali.

Ongeza hadi 7m nitakukatia 20x20 hapa
 
Attachments

  • 1417894798714.jpg
    1417894798714.jpg
    111.7 KB · Views: 87

Similar Discussions

Back
Top Bottom