wakuu wangu, naomba msaada wa kupata kiwanja cha kuishi. sehemu yenyewe iwe na sifa zifuatazo
1. iwe sehemu yenye climate nzuri ( mvua hazikosekani)
2. udongo wenye rotuba ( natazamia kufanya kilimo na ufugaji-zero grazing)
3. kuwe ni inje ya miji mikubwa
4. usafari mzuri ( barabara)
5. hospitali inapatikana kwa karibu
6. usalama wa kutosha
7. maji na umeme
nitashukuru sana kwa mchango wenu