Nahitaji kiwanja Dar!

Mizzle87

Member
Jan 10, 2013
93
6
Kwa alie na kiwanja anipe bei yake na mita ngapi(ukubwa) na mahali kilipo. Ni PM ndio itakua best way ya mawasiliano yetu.
 
Sitafutii mtu kiwanja humu wengi ni magumashi ni wafanya reseach tu hawana lolote hata ukimwambia kuna heka moja ununio inauzwa mil10 atakwambia subiri next week then ndio imetoka! Wewe kama unataka kiwanja weka size unayotaka na bajeti yako kama kweli unahtaj lzm utakuwa na bajeti uliyopanga ozawize usijaze seva za jf.
 
Nahitaji serious na mshua angu ndio anaetaka so ninauhakika mkuu, nimeshindwa kutaja bajeti coz kunawengine wakiona figure za pay anaanza kuchanganyikiwa ata kukutafuta eneo ambalo hata haliendani kwa pesa uliyotaja, hivyo kama unacho au mtu analo eneo lililosokoni ni bora yeye akanipa bei na kipimo na eneo lililopo ili mimi nijipime 2nafanyaje.
 
location??
 
Surveyed Plot For Sale
Located at Goba Mtambaa
Kinondoni Municipality
Block M, Plot No. 35
Area: 2,088 SQM
Price: 25,000,000/-
Contact: +255757000400
 
Nahitaji serious na mshua angu ndio anaetaka so ninauhakika mkuu, nimeshindwa kutaja bajeti coz kunawengine wakiona figure za pay anaanza kuchanganyikiwa ata kukutafuta eneo ambalo hata haliendani kwa pesa uliyotaja, hivyo kama unacho au mtu analo eneo lililosokoni ni bora yeye akanipa bei na kipimo na eneo lililopo ili mimi nijipime 2nafanyaje.

wacheki hawa professional wa mambo hayo plots | Nyumban Real Estate & Consultancy
 
1. CHANIKA
Size: 30*40
Bei: milioni 7
Kimepimwa

2. Kinyerezi
size: 23*46
bei: milioni 35
kimepimwa

3. Majohe
size: 20*40
bei: milioni 15
kimepimwa

na vingine kibao, sema bajeti yako na maeneo unayopendelea. 0769142586
 
Wait a minute!

We ni Mliberali au Mtanganyika? Maana sio mje kujazana tu huku wakati mpango ulioko mbele ni kuwarudisha kwenu mkakazane kwenye mikarafuu na mwani.
 
yap! mkuu viwanja vinapatikana,ninavyo viwili....kuna kimojamn kipo ''KITUNDA-KIVULE'' kina ukubwa wa hatua ''UREFU-40'',''UPANA-30''.Na kingine kipo ''MADALE-KWA KAWAWA'' karibu kidogo na tegeta kina ukubwa wa hatua ''UREFU-40'' na ''UPANA-35'' na kimejengewa ''ROOM MBILI'',hicho cha kivule kinauzwa milioni 8 na hicho cha madale milioni 15...maongezi yapo,ukiitaji utanitafuta kwenye ''0767061826'' na ''0787061826''.
 
Wakuu habari za mda huu tena.
Nimekua nikikumbana na wakat mgumu sana kwa utafutaji wangu wa kiwanja kwani wauzaji wengi wanaplan za kufanya biashara akilenga cjui mnunuz atakua jirani ake au lah. Tambueni unapojitokeza katika mtandao kua yeyote anaweza kua na uhitaji wa kitu ulichokitangaza, nayasema haya kwa kua wengi wamekua wakijitokeza kua wanaviwanja lkn ukiwataka picha za maeneo yao wanayoyauza mtu anapotea kabsa anakua km sio yeye uliekua ukichat nae na kukumueleza unahitaji kiwanja. Tubadilike jamani na tuanze mfumo wa kua na maelezo kamili popote pale zidi ya biashara yako. Nashukuru lkn nimepata mmoja amefanikiwa kunitumia picha la eneo lake hivyo natumai nitaenda nae sawa baada ya kuangalia hizo picture ila kama mwingine unazo sio mbaya kunitumia kwani uwezi jua mimi naweza nikawa balazo wako pia kwa muhitaji mwingine katka maeneo niliyopo.
 
Bado cjapata kiwanja ndugu zanguni! Naitaji kiwanja maeneo ya dar, kiwe karibu au kupitiwa na huduma za kijamii kama umeme na maji
na telephone line. Pa1 na barabara hivyo mwenye kuwepo na kiwanja cha sifa hizo ani PM(JF) akiwa tayari na kunitumia picha za kiwanja hicho pamoja na picha nyumba/majengo yanazokizunguka kiwanja hicho mkuu kwa urahisi wa kuweza kufanya biashara mkuu bila kusahau bei ya kiwanja chako.
.
Thank you!
 
Kipo 20×30mts (600sqm) kipo Puna Kimbiji karibu na bahari ni viwanja vya mradi wa manispaa Temeke, sijalipia premium (ambayo ni 5m) ambae yuko poa aseme anipe 8 milion tu, nalipia premium na kufanya transfer kabisa yeye namkabidhi offer of Right of Occupancy yenye jina lake.
 
Kwa alie na kiwanja anipe bei yake na mita ngapi(ukubwa) na mahali kilipo. Ni PM ndio itakua best way ya mawasiliano yetu.

Natanguliza samahani kwa kutangaza viwanja vilivyopo Pwani, wakati wewe unahitaji vya Dar.
Mimi nina viwanja viwili Visiga-Kibaha, surveyed plots ( title deed nd'o bado).
35mx35m kila kiwanja. Vipo katika viwanja zaidi ya 100 vilivyopimwa.
nauza kwa 8000 Tshs kwa sqm, i.e 9,800,000 kila kiwanja (maongezi yapo).
nahitaji nimalizie nyumba yangu iliyopo Pugu-Viwege.
 
Sitafutii mtu kiwanja humu wengi ni magumashi ni wafanya reseach tu hawana lolote hata ukimwambia kuna heka moja ununio inauzwa mil10 atakwambia subiri next week then ndio imetoka! Wewe kama unataka kiwanja weka size unayotaka na bajeti yako kama kweli unahtaj lzm utakuwa na bajeti uliyopanga ozawize usijaze seva za jf.

Out of topic. King Kong III umeoa, unajua sura ya avatar yako imenifanya nikuzimikie, sili silali!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom