Nahitaji kiwanja Dar es salaam

ally ndunda

Member
Jun 2, 2013
23
3
Kiwanja nahitaji nje ya Dar kwa tsh Laki tano tu. 500,000. Eneo nnalokusudia nipate ni maeneo ya Kibaha Chalinze mlandizi kimanzichana na kuendelea Kibindu.

Tuwasiliane in box
 
Amekusudia milioni tano ila amekosea kuandika jamani huwa inatokeaga mbona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom