Nahitaji kiwanja Bagamoyo

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,573
Wakuu nahitaji kiwanja au shamba bagamoyo! Mwenye nacho tuwasiliane dau ni 800-1.5m kulingana na location na ukubwa!
 
Nina kiwanja kimepimwA kina offer kina sq 700 bagamoyo ukuni (ugeni) karibu na barabara na Nina kiwanja kipo mkabala na ilipokuwa kilomo hotel kwasasa ni chuo ...ni pm kwa mawasiliano na maelezo zaidi
 
Nauza Shamba kiwanja Ni Heka Moja. kipo nyuma ya shule ya msingi Kilomo kilometer 3. kutoka kilomo Shule ya msingi. Bei yake ni Mil.4.5 (inaongeleka). Kama utahitaji Eneo zaidi Utaongeza hapo hapo ,coz Shamba ni kubwa
kama una kiitaji Ni pm
 
Weka namba kiongozi tuongee
 
Nina kiwanja kimepimwA kina offer kina sq 700 bagamoyo ukuni (ugeni) karibu na barabara na Nina kiwanja kipo mkabala na ilipokuwa kilomo hotel kwasasa ni chuo ...ni pm kwa mawasiliano na maelezo zaidi

Hicho kiwanja cha ukuni bei gani?
 
Mm nauza kiwanja Bagamoyo Zinga kwa Awadh, kipo karibu na barabara, nipm kwa maongezi zaidi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom