Nahitaji kioo cha simu: Samsung Galaxy Note 10 Plus

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
513
Habari zenu!

Nahitaji kioo cha simu yangu aina ya Samsung Galaxy Note10 Plus. Simu ilianguka ikagonga sehemu ktk kona ya kulia upande wa chini. Sasa baada ya tukio hili natumia peni tu kimatumizi inakubali lakini kwa vidole haikubali.

Kuna mtu alinishauri nitafute used kuliko kuagiza akidai ntapata lkn kinakuwa ni copy sio genuine. Kwa anaefahamu bei yake inaweza kuwa sh ngapi na waoi naweza kupata.

Note: Simu inafanya kazi vizuri kabisa na hakuna hata alama labda ya wino au lolote kwenye kioo zaidi ya mipasuko midogo midogo ktk kona.

Chief-Mkwawa
Cc Mafundi simu
 
Habari zenu!
Nahitaji kioo cha simu yangu aina ya Samsung Galaxy Note10 Plus. Simu ilianguka ikagonga sehemu ktk kona ya kulia upande wa chini. Sasa baada ya tukio hili natumia peni tu kimatumizi inakubali lkn kwa vidole haikubali. Kuna mtu alinishauri nitafute used kuliko kuagiza akidai ntapata lkn kinakuwa ni copy sio genuine. Kwa anaefahamu bei yake inaweza kuwa sh ngapi na waoi naweza kupata.

Note: Simu inafanya kazi vizuri kabisa na hakuna hata alama labda ya wino au lolote kwenye kioo zaidi ya mipasuko midogo midogo ktk kona

Chief-Mkwawa
Cc Mafundi simu
Kama kioo ni Kizima na touch tu Ndio haifanyi kazi basi Unahitaji kubadili touch.

Na aliekwambia utafute used og ni wazo zuri, japo ni ngumu kupata kwa simu mpya kama hio Ila tafuta tafuta, maana touch za kkoo ni majanga,

Kitu kama hiki
 
Maelezo yk yapo sahihi. Ndicho nachohitaji kto link hy uliyoambatanisha. Mfano nikiagiza, je kuna mafundi wazuri wa kubadilisha kwa Kariakoo au kwa unaemfaham unipe details zake
 
siku hizi vifaa vya kubadilishia vipo, nasikia (sijawahi kushuhudia) wapo wachina wanakuja na vifaa hivyo wanawacharge mafundi kubandua na kubandika.

alternative ni kwenda samsung, simu yako haijafika miaka miwili ina maana ipo kwenye warranty bado hivyo kutakuwa na msaada fulani wakupe, hata kama hardware utanunua wakupe assistant ya kubadili.
 
Nashukuru kwa ushauri. Ntaufanyia kazi

Asante sana
 
Hii simu ni majanga yangu imepasuka kabisa na nimedondosha nikiwa nimekaa tu, niliulizia Arusha nikaambiwa kioo complete ni 720,000 nadhan kwa Dar itakua rahisi au kama kuna mwenye kujua bei basi please share.
Ahsante sana @ChielfMkwawa
 
Online ni Around laki 5 complete,

Ulinunua Samsung official? Jaribu kuangalia kama upo covered na warranty.
 
Bei ni hzhz tu kati ya 750k hadi 700k. Tatizo sio pesa bali inakuwa copy yk sio orijino. Kuna fundi nimempata kasema niweke oda kuna watu huja kuuza vioo vya simu zao km hizi kutokana na kuharibika na kuwa ngumu kutengeneza lkn bei zake huanzia 550k ukibahatisha ila kwa kawaida ni 650k uzuri kinakuwa kioo orijino. Anachofanya anakuunganisha na mwenye cm yenye kioo cha kuuzwa mkimalizana anakubadilishia.
 
Habari zenu!

Nahitaji kioo cha simu yangu aina ya Samsung Galaxy Note10 Plus. Simu ilianguka ikagonga sehemu ktk kona ya kulia upande wa chini. Sasa baada ya tukio hili natumia peni tu kimatumizi inakubali lakini kwa vidole haikubali.

Kuna mtu alinishauri nitafute used kuliko kuagiza akidai ntapata lkn kinakuwa ni copy sio genuine. Kwa anaefahamu bei yake inaweza kuwa sh ngapi na waoi naweza kupata.

Note: Simu inafanya kazi vizuri kabisa na hakuna hata alama labda ya wino au lolote kwenye kioo zaidi ya mipasuko midogo midogo ktk kona.

Chief-Mkwawa
Cc Mafundi simu
Ushaur wangu mm ww nunua simu nyingine ukithubutu kwrnda samsung customer care umekwisha wale jamaa kwanzq kioo hakina waranty pili hawabandui touch watataka ununue display nzima mwisho bei ya io display utakayotajiwa hapo lazima ukimbie sasa najiulizaga customer care wanauza accesories expensive kuliko maduka how
 
Bei ni hzhz tu kati ya 750k hadi 700k. Tatizo sio pesa bali inakuwa copy yk sio orijino. Kuna fundi nimempata kasema niweke oda kuna watu huja kuuza vioo vya simu zao km hizi kutokana na kuharibika na kuwa ngumu kutengeneza lkn bei zake huanzia 550k ukibahatisha ila kwa kawaida ni 650k uzuri kinakuwa kioo orijino. Anachofanya anakuunganisha na mwenye cm yenye kioo cha kuuzwa mkimalizana anakubadilishia.
750k,ina maana hapo Tecno za 150k unapata 5,na hicho ni kioo tu...
 
Habari zenu!

Nahitaji kioo cha simu yangu aina ya Samsung Galaxy Note10 Plus. Simu ilianguka ikagonga sehemu ktk kona ya kulia upande wa chini. Sasa baada ya tukio hili natumia peni tu kimatumizi inakubali lakini kwa vidole haikubali.

Kuna mtu alinishauri nitafute used kuliko kuagiza akidai ntapata lkn kinakuwa ni copy sio genuine. Kwa anaefahamu bei yake inaweza kuwa sh ngapi na waoi naweza kupata.

Note: Simu inafanya kazi vizuri kabisa na hakuna hata alama labda ya wino au lolote kwenye kioo zaidi ya mipasuko midogo midogo ktk kona.

Chief-Mkwawa
Cc Mafundi simu

Niuzie mimi iyo simu ikiwa katika hali hio.
 
Online ni Around laki 5 complete,

Ulinunua Samsung official? Jaribu kuangalia kama upo covered na warranty.

Ngojea nitazame lakini kama nitataka kuagiza naweza tumia website ipi nzuri kaka.
Ahsante sana.
Kuliko niitupe tu bora niitengeneze halafu niuze iwe hata hasara kidogo sio hasara nzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom