Nahitaji kioo cha Samsung A02 kavu

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
499
500
Naombeni kufahamu bei pamoja na matengezo ya kufunga kioo cha simu

Mafund mnipm tufanye kazi ni serioius ishu.
 

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,804
2,000
Majanga ni ktk flagship tu hizo A series bei ya vioo ni rahisi maana ni tecno zilizochangamka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom