Nahitaji kijana tutakayesaidiana kuuza kwenye duka la dawa, vipodozi na kusimamia biashara hii

NYOTIENO JARIEKO

Senior Member
Apr 29, 2017
196
324
Ndugu zangu Mimi ni kijana under 25 yrs elimu yang kidato cha Sita( 2015 ) Baada ya kukosa mkopo niliingia kitaa kusaka pesa nikijua wezangu wapo vyuoni kwa hiyo nisibweteke kwa kukosa kujiunga na chuo nikiamini kuna cku na mm nitajiunga nikiweka msingi imara ili niunge Ndalichako na wizara yake kwa kuongeza idadi ya graduate .Nikaanza kupambana na hali yang japokuwa vyuma vimekaza lkn hakuna njia tunatia mafuta ya kupikia coz gharama ya grease ni kali kuliko maelezo .

Ninataka kufungua duka la dawa baridi ya binadamu na vipodozi kwa kuwa mm ni un professiona nitasimamia upande wa vipodozi japokuwa frame itakuwa moja ili usimamizi iwe imara nimeamua kujiajiri coz mkataba wangu mwisho mwezi wa kwanza mwakani na kampuni imekataa kuongeza mkataba wakilalamikia hasara na hali ngumu kiuendeshaji na jinsi mnavyojua hali ya kiuchumi ilivyo sasa hivi japokuwa wanasema "we are in right truck tutembe kifua mbele "japokuwa mm natembea nikiinama kama teja coz hali c nzuri.

Nilikuwa na save karibia 3/4 ya mshara wangu nikiwa nikitarget kujiajiri nikawa bahiri na kuishi Maisha ya kujibana hadi mademu wakaacha kuniita handsome wakanita bahiri ...ha ha ha kweli mm ni miongoni mwa vijana wanaokula kwa macho , coz mshara kiduchu haitoshi .Lakini kinachoniuma tena kinaniuma ni hii sheria ya pension 25% kwa watumishi wa umma na 35 kwa private sectors kwa kweli sheria hii imeniharibia mipango cjui hata nianzaje kuifuatilia coz nikifikiria nakasirika ...niwaulize wezangu wa private sector mm under 25 yrs na mkataba inaisha mwakani mwezi wa kwanza baada ya kuchukua hiyo 35% nitaendelea kuchukua mshara Mpaka kifo ? au itakuwa mwendo wa kuwekewa buku kumi mpk kifo. ..nimeshindwa kufuatilia hii sheria coz imeniharibia mipango yg kila nikianza kufuatilia naishiwa nguvu na hata nikicheki kwa tv wanahijadili nazima tv nikisikiliza au kuifuatilia naweza kutangulia israel.

Dhumuni kubwa kuja hapa ninahitaji kijana tutakayesaidiana kuuza dawa, vipodozi na kusimamia biashara hii .

1.Awe Anaishi dar meaneo ya Mbagala,Temeke, Kong'oe au Toangoma ninachomanisha gharama ya transport coz na uchovu wa kusafiri kila cku umbali mrefu inaweza kuwa kero .
2. Certificates /diploma ya pharmacist au nursing
3.Ana uzoefu wa kuuza dawa.
4.Nataka kijana under 30 yrs watu wazima wanamajukum mengi plus family care no .
5.Mpiga kazi/anaejituma.


N/B business ni yangu yeye ataajiriwa lkn cpendi kutumia neno kuajiriwa coz tutakuwa wawili naomba nitumie neno "tutasaidiana "kutafuta vijicenti ya kubadilisha mboga ili mkono iende mdomini.

Nifuate dm au email :geraldngurujoseph10@gmail.com
 
Kaka naomba uniambie kama hili wazo lako ulifanikiwa kulitekeleza au lah!
 
Back
Top Bottom