Nahitaji kijana anayeweza kuandaa documentary na ni mtu wa social media kwa ajili ya kusaidia mradi wetu

tata0193

Member
Jul 17, 2011
84
33
Habari wadau, nahitaji kijana awe ni mkazi wa Dar na jinsia yoyote, umri ni miaka 18-25.Pia awe na taaluma ya habari na ujuzi unaohusiana na kazi kama subject inavyojieleza.

Mradi tunafanya Mwanza,Tanga, Morogoro,Mtwara na Dar Es Salaam

DM, kabla ya Ijumaa ya tarehe 12/10/2019
 
vifaa kama camera, lighting, pc n.k. vinapatkana hapo kazini au mtu anayetaka hy kazi aje navyo.?
 
Habari wadau, nahitaji kijana awe ni mkazi wa Dar na jinsia yoyote, umri ni miaka 18-25.Pia awe na taaluma ya habari na ujuzi unaohusiana na kazi kama subject inavyojieleza.

Mradi tunafanya Mwanza,Tanga, Morogoro,Mtwara na Dar Es Salaam

DM, kabla ya Ijumaa ya tarehe 12/10/2019
Nipo mi nimjuz was computer nimehitimu certificate chuo cha veta. Namba yangu ya simu 0688065853
 
Back
Top Bottom