Nahitaji kijana aliye somea Medical lab(Diploma au Certificate)

BILGERT

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
6,535
10,974
Tafadhari husika na mada tajwa hapo juu..
Nahitaji kijana mmoja aliye somea diploma ama certificate of medical laboratory science.

Vigezo awe amesajiliwa na bodi ya wataalamu wa maabara ya binadamu.

Kituo cha kazi ni Dodoma.

Mshahara ni kwa mujibu wa scale ya serikali.

Kwa maelekezo zaidi,njoo PM.

Wahi nafasi ni chache,
 
Bro tuna apply vp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukihitaji wa kukaa Pharmacy tushituane mkuu niko na Certificate full register na baraza la Pharmacy

CC Zero IQ
 
Tafadhari husika na mada tajwa hapo juu..
Nahitaji kijana mmoja aliye somea diploma ama certificate of medical laboratory science.

Vigezo awe amesajiliwa na bodi ya wataalamu wa maabara ya binadamu.

Kituo cha kazi ni Dodoma.

Mshahara ni kwa mujibu wa scale ya serikali.

Kwa maelekezo zaidi,njoo PM.

Wahi nafasi ni chache,
ukihitaji nurse nishtue nipo nauzoefu wakutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom