Nahitaji kazi yoyote mkoani Moshi, mambo magumu kwangu

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,878
Nahitaji kazi yoyote kwa muda wa mwezi huu mmoja either Boma, Sadala, Machame, Moshi mjini.

Fani yangu ni mwanafunzi wa chuo kwa level ya diploma, Community Development ila nataka kazi yoyote kwa muda huu coz mfuko hauna hata senti tano.

Please nisaidieni mwenye kazi yoyote anipm
 
Back
Top Bottom