Nahitaji kazi ya uhasibu Arusha

sekion27

Member
Jul 25, 2021
56
37
Nahitaji kazi ya uhasibu nipo Arusha, elimu yangu ni bachelor of accounting and finance nimemaliza 2019. Nina zoefu wa kutumia tally na kuandaa cash statement vizuri katika computer. Pia nina uzoefu wa kufanya marketing and sales.

Nilikuwa nafanya biashara ila mambo yangu yameenda tofauti kwa sasa sina kazi co nilihitaji hta kazi nje ya fani yangu ili kuendesha maisha kwani huku nimepanga na nipo mkoa mbali na nyumbani.

Kwa yeyote mwenye kazi zinazoenda na fani yangu hata sile ambazo hazipo kwenye fani yangu nitafanya.

Asanteni kwa ushirikiano.
 
Ila tunategemea mliosoma Accounting and finance muwe na uwezo mzuri wa kuanza biashara hata kwa kiwango kidogo na badae kufungua kampuni?
 
2021_07_28_21.21.21-1.jpg
 
[QUOTE="sekion27, post: 39772959, member: 642223"Naomba kazi ya uhasibu nipo Arusha, elimu yangu ni bachelor of accounting and finance nimemaliza 2019. Nina zoefu wa kutumia tally na kuandaa cash statement vizuri katika computer. Pia nina uzoefu wa kufanya marketing and sales.

Nilikuwa nafanya biashara ila mambo yangu yameenda tofauti kwa sasa sina kazi co nilihitaji hta kazi nje ya fani yangu ili kuendesha maisha kwani huku nimepanga na nipo mkoa mbali na nyumbani.

Kwa yeyote mwenye kazi zinazoenda na fani yangu hata sile ambazo hazipo kwenye fani yangu nitafanya.

Asanteni kwa ushirikiano.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom