Nahitaji kazi ya udereva

A simple Man

New Member
Feb 9, 2019
1
20
Habari za majukumu ndg watanzania wenzangu..,natumai nyote ni wazima..
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka (26) kutoka Mwanza ndiko nakoishi..

Elimu yangu ni kidato cha nne, na nimepata mafunzo ya udereva katika Chuo cha Taifa cha usafirishaji(NIT) na kupata cheti..
Leseni yangu ni class A,B,C1,C2,C3,D,E,F na G

Nimefanya kazi katika makampuni ya kusambaza umeme vijijini toka mwaka 2014-2016 nikiwa dereva..
kazi maalum katika kampuni ya umeme Tanesco 2016-2017
Niko tayar kufanya kazi kwa hali na mali katika kampuni na sekta zote..kama utalii.., migodi..,NGOs.,Afya.,kampuni za simu..nk
Ninapatika muda wote katika simu ya mkononi namba 0753733573/0684821028

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom