NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 316
- 364
- Thread starter
- #21
A2z bado chenyew kinapatkana wapiKajaribu A2Z
A2z bado chenyew kinapatkana wapiKajaribu A2Z
Nashukuru mkuu pote nitajalibu naamin nitafanikiwa,Jaribu pia
Bonite - kijenge
Pepsi - lemara
Fibreboard - mbele ya general tyre
Nikifanikiwa nitakupa mrejeshoJaribu pia
Bonite - kijenge
Pepsi - lemara
Fibreboard - mbele ya general tyre
Ndio mkuuUnahitaji Kazi Kiwanda Chochote Arusha. Je upo Tayari Kwa Kazi Yeyote?
Nipo tayari mkuu,kwa kazi yoyote katika kiwanda chochote, arushaUnahitaji Kazi Kiwanda Chochote Arusha. Je upo Tayari Kwa Kazi Yeyote?
A2Z na pia kile cha Redgold kinatengeneza tomato
Vp mkuuUnahitaji Kazi Kiwanda Chochote Arusha. Je upo Tayari Kwa Kazi Yeyote?