NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 316
- 364
Rafiki yangu anahitaji kazi katika kiwanda cha aina yoyote kilichopo Arusha mwenye connection amsaidie, akimfanikishia ipo laki 100000/cash akifanikisha kupata kazi kiwandani,
Kaka tuyajenge dmUngekuwa Dar ningekufanyia mpango fasta
PoaKaka tuyajenge dm
Poa karibu dmKaka tuyajenge dm
Vp mkuuKaka tuyajenge dm
Lodhia ni wapi mkuuNenda Arusha, lodhia wanatoa ajira mara kwa mara, maana watu wanakimbia ugumu wa kazi
Kiwanda cha nondo kipo njiroLodhia ni wapi mkuu
Unaijua Arusha vizuri kwanza...?Lodhia ni wapi mkuu
Ndio arusha napajua vizuriUnaijua Arusha vizuri kwanza...?
Ajira za hapo kama una uzoefu napo zikoje mkiiUnaijua Arusha vizuri kwanza...?
Nenda huko sasa,Ndio arusha napajua vizuri
Una uzoefu au hauna uzoefuAjira za hapo kama una uzoefu napo zikoje mkii
Ninao uzoefu kiasi kulidhishaUna uzoefu au hauna uzoefu
Nambie mkuu ajira za hapo zikojeUna uzoefu au hauna uzoefu
Kazi za pale za sulubu nyingi haziitaji experience, labda mbeleni huko ukiama kitengo, ndo uzoefu utaangaliwaNinao uzoefu kiasi kulidhisha
Nenda pale getini, kuna mzee mmoja mnyakyusa atakusaidiaNambie mkuu ajira za hapo zikoje
Sawa mkuu ngoja nijiandae nikawaoneNenda pale getini, kuna mzee mmoja mnyakyusa atakusaidia