Nahitaji kampani leo kwakuwa mgao wa umeme umezidi!!

Che-lee

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
318
88
Kutokana na mgao wa umeme kuwa 24,nyumbani hapakaliki na weekend hii! Hivyo naomba kwa mabinti mliopo dar yeyote anayeweza kuja kunipa kampani leo afanye hivyo!Nitakuwa beach za maeneo ya kigamboni, nafasi ni moja tu!NB Naomba nieleweke sio kwaajili ya mapenzi,nikupiga stori,kubadishana mawazo,nakutuliza machungu ya mgao wa umeme!!!Vinywaji vilaini na nauli nitakugharamia!Contact: 0715865544yeccotltd9@yahoo.com
 
Haya ndugu! Mabinti mpoo! umesema nauli na vinywaji laini utatoa, vp chakula? Maana dada zetu ninavyowajua wanatisha.
 
in ur circle of frnds,hakuna wanaoathirika na mgao wa umeme? wazo tu limenijia,haya j2 njema b4 simu haijakuzimikia!!
 
in ur circle of frnds,hakuna wanaoathirika na mgao wa umeme? wazo tu limenijia,haya j2 njema b4 simu haijakuzimikia!!
Ndugu yangu kwakuwa ninamachungu nahitaji sura na muonekano tofauti juu ya simu bado kachaji kamo labda katakata mida ya jioni! Yani kuchagi kwenye generator buku!!
 
Jamani sioni calling yoyote wala sms na mda unazidi kuyoyoma!!
 
Back
Top Bottom