Nahitaji ka-friji kadogodogo ...

Mkalibari

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
659
396
Habari wandugu,kama kuna mtu yeyote anaweza niuzia friji dogo kabisa...ajitokeze.
ni kwa ajiri ya matumizi binafsi ya kinyumbani.
utaratibu.
1.nitajie spesfication zake
2.umelitumia muda gani
3.unapatikana wapi.
4.bei gani
5.picha yake itakua bora zaidi.
6.weka namba yako ya simu ntakupigia mimi mwenyewe.
NB:ninahitaji moja tu (NAOMBA LIWE DOGO KABISA)..na nitachukua litakalonivutia na lenye ofa ya chini zaidi ya wengine.
Karibu tufanye biashara.

Update.
Napatikana dar es salaam
 
njoo kigoma mtaa wa mjimwema nikuuzie friji yangu ndogo aina ya boss kwa laki nne taslimu, fedha ya kitanzania
 
lipo friji dogo used kutoka ulaya zuri sana halijatumika bongo nataka laki mbili na nusu tu nakupa garantii mwezi mmoja
 
Habari wandugu,kama kuna mtu yeyote anaweza niuzia friji dogo kabisa...ajitokeze.
ni kwa ajiri ya matumizi binafsi ya kinyumbani.
utaratibu.
1.nitajie spesfication zake
2.umelitumia muda gani
3.unapatikana wapi.
4.bei gani
5.picha yake itakua bora zaidi.
6.weka namba yako ya simu ntakupigia mimi mwenyewe.
NB:ninahitaji moja tu (NAOMBA LIWE DOGO KABISA)..na nitachukua litakalonivutia na lenye ofa ya chini zaidi ya wengine.
Karibu tufanye biashara.

Update.
Napatikana dar es salaam

Mininalo kubwa linatumia mafuta ya taa,nilinunua ileje mwaka 1951.Nimeliwekea kitasa cha mlango wa nyumba,ndani lina shelf za mbao.Njoo ulichukue nitakupa na elfu 20.
 
hahaha! Acha mambo yako wewe!!
 
Mininalo kubwa linatumia mafuta ya taa,nilinunua ileje mwaka 1951.Nimeliwekea kitasa cha mlango wa nyumba,ndani lina shelf za mbao.Njoo ulichukue nitakupa na elfu 20.

asante mkuu ngoja nisubir na wengine kwanza afu tutaongea biashara
 
lipo friji dogo used kutoka ulaya zuri sana halijatumika bongo nataka laki mbili na nusu tu nakupa garantii mwezi mmoja

Bei yako haipungui?...like kwenye mia na kitu hivi?
Na picha plz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom