Nina swift la 2004, lipo kwenye hali nzuri anatumia wife. Nataka kubadilishana na mtu mwenye IST namwongezea na 1.5million. IST=Swift+1.5mil. Kwa Mawasiliano ani PM
Angerahisisha kwa kuweka specs za hiyo SWIFT ili watu wajue thamani yake kwa sasa barabarani ikoje na soko la kitaa linasemaje kuhusu hiyo gari then from there ndo umsaidie hata kama kuna mtu ana IST ajue atahitaji top up kiasi gani hapo juu ya hiyo gari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.