NAHITAJI iPhone 5 urgently.

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Husika na heading hapo juu.

Kwa sasa nimejipanga na laki 900,000 ila iwe ndani ya box na fully accessories zake.

Kama used ni sawa ila iwe katika hali nzuri.

Pia iwe genuine, kwa kuwa nina uzoefu nazo ili halitanipa shida kutambua.

Kwa serious seller, nitafute kupitia PM.
 
mkuu nakushauri uendelee kusave zaidi upate kitu kipya na chenye warranty ya miaka 2 istor/.maduka ya uhakika...kua mvumilivu kidogo...
 
Mkuu nipo na galaxy not3 kama utaipenda nicheki 0716719917
 
Husika na heading hapo juu.

Kwa sasa nimejipanga na laki 900,000 ila iwe ndani ya box na fully accessories zake.

Kama used ni sawa ila iwe katika hali nzuri.

Pia iwe genuine, kwa kuwa nina uzoefu nazo ili halitanipa shida kutambua.

Kwa serious seller, nitafute kupitia PM.

mkuu unataka kununua iphone 5 kwa hiyo bei afu used, ongeza kidogo udake iphone 5s
 
hammy-d, wewe ule mgawo wa galaxy wa Mr. Mwezi wa Kwanza Makamba haukukupitia licha ya jitihada zote unazozifanya humu mitandaoni?
 
Last edited by a moderator:
Call me nikupatie nipo tabata ,its 7 month used 0764887013 !! Nipo available any day
 
HAMY-D salama mkuu?
Naona unajipanga kimawasiliano kwa ajili ya 2014 kutia kampeni za fitna. Tehe tehe tehe
 
Last edited by a moderator:
Ninayo nyeupe kwenye box kwa 850 tu ni pm km upo serious kesho tufanye biashara
 
Back
Top Bottom