Nahitaji home theater

NIFANYAJE

New Member
Dec 16, 2016
1
1
Nahitaji home theater ya lg lhd 655 watts 1000 na bajeti yangu ni 500000 nipo kilimanjaro kwa sasa iwe mpya kwa mawasiliano kwa mwenye nayo anitext kwa namba hii 0628372097
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Kwa mpya nenda maduka ya LG sidhani kama kilimanjaro agent wao yupo ila Arusha yupo nenda utapata ila sio kwa bei hiyo uliyoweka..
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Nahitaji home theater ya lg lhd 655 watts 1000 na bajeti yangu ni 500000 nipo kilimanjaro kwa sasa iwe mpya kwa mawasiliano kwa mwenye nayo anitext kwa namba hii 0628372097
Mkuu ukipata nishtue na mimi ila mimi nataka Sony
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom