nahitaji haraka sana kampuni ya mizigo kutoka zanzibar kuja dar es salaam

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
anaejua kampuni ya usafirishaji mizigo

kutoka zanzibar kwenda dsm kampuni hiyo wawe waaminifu

hraka tafadhari

asante
 
hujaeleweka mizigo ukubwa gani?clearing agent au shipping agent?kuna vijana hapo zanzibar huwa unawakabidhi mzigo,unawalipa wanakuambia dar umone nani siku gani kisha unachukua cargo yako.kumbuka kuna ushuru au unataka kwa njia zetu zileeeee?
 
mkuu nahitaji official company wanaoweza leta mzigo mlangoni. sio kontena wala bahasha, mzigo wa wastani,

asante kwa wazo lako
 
hujaeleweka mizigo ukubwa gani?clearing agent au shipping agent?kuna vijana hapo zanzibar huwa unawakabidhi mzigo,unawalipa wanakuambia dar umone nani siku gani kisha unachukua cargo yako.kumbuka kuna ushuru au unataka kwa njia zetu zileeeee?

napenda nilipie mkuu, ingawa ni mzigo wa shirika la dini, hautozwi mkuu. lkn unatakiwa upelekwe officially
 
hujaeleweka mizigo ukubwa gani?clearing agent au shipping agent?kuna vijana hapo zanzibar huwa unawakabidhi mzigo,unawalipa wanakuambia dar umone nani siku gani kisha unachukua cargo yako.kumbuka kuna ushuru au unataka kwa njia zetu zileeeee?

kampuni iwe inatambulika mkuu
 
anaejua kampuni ya usafirishaji mizigo

kutoka zanzibar kwenda dsm kampuni hiyo wawe waaminifu

hraka tafadhari

asante

kuna jamaa hawa wazuri wanaitwa S.M.RASHID INV LTD wana mtandao mkubwa hebu jaribu kuwatafuta piga namba hii uwafahamishe ni mzigo gani na unakwenda wapi. wanaweza kukupitishia bandari ya dar au bagamoyo within 24 hours unakabidhiwa mzigo jaribu namba hizi 0773 373891 au 0714 229040 ukifanikiwa nipe feedback
 
sa kwa nni uende hadi bagamoyo? ni kinumenyume sana, na watakuwa wanjia za panya na mimi sitaki panya wezi
 
mkuu bagamoyo ni bandari rasmi inayotambuliwa na serekali na kuna TRA kule. Pia ni option tu sujakuambia lazima upite huko , watakupitishia bandari ya Dar muhimu mzigo wako uwe umeingia kihalali zenj
 
Back
Top Bottom