Nahitaji Gari

kwa fedha yako utapata gari nzuri, kuwa mtulivu sana!

unaweza pata, spacio new model, Raum, IST, i mean gari yoyote ndogo nzuri unaweza pata kwa fedha yako

Maaana duh kwenye kuchagua kidogo inakua tatizo
 
Ukijichanganya tu ukaenda PM umeumia. Mwenye gar na anaekubali ofa yako aweke hapa picha na details wakuu wakusaidie kuchek mambo mawili matatu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo jukwaa ndo linafanya biashara au mnunuzi na muuzaji? Ninachojua watu wanapeana taarifa, wanaonana, mteja anakuja na fundi wake au expert anayemwamini, au hata zaidi ya mmoja. Wakiona mali na kukagua wanaamua kama hawajaridhika wanasepa, kama wameridhika they bargain price. Sasa mtu anaumiaje hapo? Anyway endeleeni kutishana tuu humu. Ila mambo ya kuanikana private information humu sifanyi. Watanunua walio serious. Good luck ni kwamba siuzi gari kwa sababu nina emergency, na wala siuzi kwa sababu ina hitilafu. Ninahitaji kuwekeza kwenye project nyingine, na kwa sababu ninaenda masomoni niliona gari isikae tu parked au kumwachia mtu alafu nikute iko juu ya mawe.
 
Jamaa anahitaji gari nzima na ya uhakika ndo maana ameenda straight kutaja ofa yake. Ameanzisha uzi maalum ili utumike kufanya hyo kazi ya kutafta na kupata gari.

Kama gari ni yako, na haina tatizo na suala la kuiuza is ur legitimate decision, kwanini uone tabu kuweka picha hapa?! Biashara za black market hua zinapelekea mmojawapo kulizwa, hasa mnunuzi ndo tahadhari ninayompa

Black market hujaipa maana na heshima yake stahiki. Unaitumia vibaya.
Kama unajua kuwa its my legitimatedecision kuuza au kutokuuza, pia its my legitimate decision kuipublish au la. Na pia its the legitimate decision ya mteja kununua au kuacha. Upo baba!!!

Tatizo JF huku kila mtu mjuaji sana. Mwaka jana kuna ndugu yangu (jina nalihifadhi), alipost hapa anauza kitu flani, alinunua alafu hakutumia kabisa baada ya kubadili aina ya project aliyotaka kufanya. Aisee watu wakakomalia kutaka picha, alivyoweka picha wakaja watu na posts za dharau za kupitiliza, nikamwambia achana nao. Weka mzigo ndani. Amini nakuambia, alipatikana mteja aliyenunua kwa bei ya juu, almost sawa na bei ya dukan kwa sababu mzigo wenyewe unajiuza ubora wake.
 
Sawa, we uzia ndani waache wenye guts za kupublish wamuuzie mkiu. Kwani tatizo liko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka target ya gari unayotaka kulingana na mahitaji yako. Kwa mwendo wa ofa unaweza changanyikiwa. As kila gari utaona ni zuri, matokeo yake utaishia kununua gari lisilokidhi mahitaji yako.
 
wakuu kuna mtu hapa seriously anakomaa nimtafutie gari kwa Tsh 3 Millions, is this possible?
 
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua. Inategemea specifications na ubora wa gari lenyewe. Kuna rafiki yangu kauza Raum hivi karibuni 4.5. ila hata ukiangalia kwa macho unaona kabisa gari limechoka hata mngurumo wake.

Nikuambie kitu mkuu? Mtu anaweka price tag ya gari kulingana na sababu mbali mbali. Mfano, Ya mwaka gani, model ipi, ubora wa body na engine, Mileage, na mengineyo. Mtu anayejua gari lake ipo kwenye viwango hawezi kuuza kwa bei ya kutupa, otherwise awe na jambo la haraka sana na ni dharura kama kuokoa uhai au mtu ana kesi imemkaba na anaona jela ilee, so analazimika kuizima kwa namna yoyote hata kuuza gari au shamba kwa bei ya hasara. Na watu wa aina hii ni wachache sana.

Mimi nasubiri mteja taratibu ila kwa uhakika, siyumbi na bei za madalali maana najua ubora wa kifaa changu
 
Back
Top Bottom