Nahitaji gari ya kuendesha kama Uber au Bolt kwa mkataba

arnjaam

Member
Feb 23, 2019
53
28
Mimi n kijana mpambanaji hapa Mjini! Na ata kuna threads nyingine za nyuma mlishanishauri na sasa ni vyema tu mambo yanaenda vizuri namshukuru Mungu! Kwa uwepo wenu na mawazo yenu

ila mimi leo nlikua naomba mnisaidie pia make najuaa hii n community kubwa na inawatu wazito pia ndani yake!

Mimi bhana kipato change kwa mwezi nkiwa sifanyi chochote yan nimekaa tu ndani sio chini ya Laki Saba kwa mwezi! Make Nina Bajaji angu mpya kabisa iko barabaran bado mpya na kibiashara kingne kdg kipo ndo nikicombine bajaji Laki 6 na hako kengine ni Laki na Nusu kananipa kwa mwezi! So ndo inakuja hyo 750k kwa mwezi uhakika kabisa!

ila sasa nlikua nahitaji Gari dogo la kuanza Biashara ya Uber na Bolt make uzuri wangu mm Nina biashara nyingine so ata kama sijapata huko m natoa hela huku kwangu maisha yanaendelea!

Hivyo basi nlikua naomba kwa yeyote mwenye connect ya gari la kufanyia uber na bolt la mkataba anisaidie

Au kwa yeyt mwenye ushauri naomba anipe ushauri pia ili nipate kujionhezea kipato pia na kuchakarika!!

NTASHUKURU SANA KWA KWERI
 
Nakushauri nunua IST old model 13m mpe dereva kwa mkataba au wewe mwenyewe ingia nalo barabarani lisajili kama uber & bolt kwa siku autakosa 50000 hadi 80000 ukifanya mwenyewe ila ukimpa dereva 30000 sasa wewe hapo angalia mwenyewe lipi bora
 
Mkuu wewe ni dereva uber?

Kwasababu watu wengine wanasema siyo rahisi kupata 50,000 kwa siku hata kama gari ni la kwako!

Tupe uzuji kidogo
 
Inategemea na mikakati yako uliyojiekea na eneo unalopaki mara nyingi ila ni kweli kwa sasa hali ni ngumu kupata 50000 inaitaji upambane sana
 
Mimi n kijana mpambanaji hapa Mjini! Na ata kuna threads nyingine za nyuma mlishanishauri na sasa ni vyema tu mambo yanaenda vizuri namshukuru Mungu! Kwa uwepo wenu na mawazo yenu

ila mimi leo nlikua naomba mnisaidie pia make najuaa hii n community kubwa na inawatu wazito pia ndani yake!

Mimi bhana kipato change kwa mwezi nkiwa sifanyi chochote yan nimekaa tu ndani sio chini ya Laki Saba kwa mwezi! Make Nina Bajaji angu mpya kabisa iko barabaran bado mpya na kibiashara kingne kdg kipo ndo nikicombine bajaji Laki 6 na hako kengine ni Laki na Nusu kananipa kwa mwezi! So ndo inakuja hyo 750k kwa mwezi uhakika kabisa!

ila sasa nlikua nahitaji Gari dogo la kuanza Biashara ya Uber na Bolt make uzuri wangu mm Nina biashara nyingine so ata kama sijapata huko m natoa hela huku kwangu maisha yanaendelea!

Hivyo basi nlikua naomba kwa yeyote mwenye connect ya gari la kufanyia uber na bolt la mkataba anisaidie

Au kwa yeyt mwenye ushauri naomba anipe ushauri pia ili nipate kujionhezea kipato pia na kuchakarika!!

NTASHUKURU SANA KWA KWERI
Wewe kwanza ni muongo, inaonyesha hujawahi kumiliki Bajaj au biashara yeyote kwa maana hiyo, umepiga mahesabu bajaj malengo 20,000 kwa siku, kisha ukapiga mara siku 30 ukapata laki 6. Pumbavu!

Kila wiki kuna siku ya service na ya dereva, kwa wiki toa siku 2.
Kuna siku ambazo dereva anakuletea hela pungufu au haleti kabisa.
Katika hizo hela anazoleta utatoa zingine hapohapo kwa ajili ya kununulia vifaa vilivyoharibika.
Atakamatwa na trafiki utaenda kusovu kwa kutumia hiyohiyo hela.

Kwa hiyo haiwezekani upate laki 6 kwa mwezi..
Ukifanikiwa kukusanya laki tatu shukuru Mungu!
 
Can I say https://jamii.app/JFUserGuide you for abusing me mother f,,,kwa kuniita mpumbavu, njoo inbox nkutumie nakala ya biashara nazomiliki
 
Upumbavu haipo katika matusi yaliyokatazwa JF, yaliyokatazwa ni matusi ya nguoni, kwa hiyo huwezi kunishtaki JF.

Kama wewe siyo muongo, jibu hoja nilizoibua kwenye post yangu.
Huyu jamaa kaudhihirisha zaidi uongo wake pale aliposema "hata kama akikosa hesabu ya kurejesha hana shida atatoa pembeni kwa hizo biashara zingine" nkaona mh huyu hamna kitu hapa,,, fix tu!!! Bajaj uingize lak6 kwa mwezi
 
Alipiga hesabu ya 20,000 kwa siku akizidisha mara siku 30. Hajui kwamba kuna gharama za uendeshaji wa hiyo biashara. Pia hajui kwamba dereva hawezi kuleta hesabu kamili kila siku.
 
Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
 
Back
Top Bottom