Nahitaji games za kompyuta za NBA

1.Umekosea kuuanzisha huu uzi hapa ila ungeanzisha kule tech, gadgets &science forum ungekuwa ushapata hilatji lako

2. Inawezekana mwenye nazo hajapitia uzi wako pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upo wapi?
jiunge na kifurushi cha usiku Halotel uyashushe....
 
Back
Top Bottom